Matendo Ya Mitume 12:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yule malaika akamwambia, “Vaa nguo zako na viatu vyako.” Petro akafanya hivyo. Kisha akamwambia, “Vaa koti lako unifuate.”