Matendo Ya Mitume 12:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo Petro akawekwa gerezani; lakini kanisa lilikuwa likimwombea kwa Mungu kwa bidii.