Matendo Ya Mitume 12:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Alipoona kuwa kitendo hicho kimewapendeza Wayahudi, akaamuru Petro akamatwe. Hii ilitokea wakati wa Sikukuu ya Mikate isiyotiwa chachu.