Matendo Ya Mitume 12:21

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Siku ya hao wajumbe kumwona mfalme ilipofika, Herode alivaa mavazi rasmi ya kifalme akaketi juu ya kiti chake cha enzi akaanza kutoa hotuba.