Matendo Ya Mitume 12:19

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Herode akaamuru msako ufanyike lakini waliposhindwa kumpata Petro, aliwahoji wale askari walinzi kisha akatoa amri hao askari wauawe. Basi Herode akatoka Yudea akaenda Kaisaria, akakaa huko.

Kifo Cha Herode