Matendo Ya Mitume 12:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakam wambia yule msichana, “Una kichaa!” Lakini yeye alisisitiza kwamba ilikuwa ni kweli amesikia sauti ya Petro. Wakasema, “Ni malaika wake.”