Matendo Ya Mitume 11:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
“Nil ikuwa nikiomba katika mji wa Jopa, nikaona katika ndoto kitu kama shuka kubwa ikishushwa chini kwa ncha zake nne, kutoka mbinguni, nayo ikanifikia.