Matendo Ya Mitume 11:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Roho akaniambia niende nao bila kusita. Nikaenda nao nikisindikizwa na hawa ndugu sita, tukaingia katika nyumba ya Kornelio.