Matendo Ya Mitume 10:47

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
“Je, kuna mtu anayeweza kuzuia watu hawa wasibatizwe kwa maji? Wamempokea Roho Mtakatifu kama sisi tulivyompokea.”