Matendo Ya Mitume 10:42

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Naye alituamuru kuhubiri kwa watu wote, na kushuhudia kwamba yeye ndiye aliyechaguliwa na Mungu kuwahukumu walio hai na wafu.