Matendo Ya Mitume 10:39

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Sisi ni mashahidi wa mambo yote aliyofanya katika nchi ya Wayahudi na Yerusalemu. Walimwua kwa kumtundika msalabani.