Matendo Ya Mitume 10:31

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Akasema, ‘Kornelio, maombi yako yamesikiwa na Mungu, naye amekumbuka msaada wako kwa maskini.