Matendo Ya Mitume 10:27

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Petro alipokuwa akizungumza naye aliingia ndani ambapo alikuta watu wengi wamekusanyika.