Matendo Ya Mitume 10:24

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kesho yake wakawasili Kaisaria. Kornelio alikuwa akiwan goja pamoja na ndugu zake na marafiki wa karibu ambao alikuwa amewaalika.