Matendo Ya Mitume 10:2

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yeye alikuwa mcha Mungu pamoja na jamii yake yote. Alitoa msaada kwa ukarimu kwa watu na kumwomba Mungu mara kwa mara.