Matendo Ya Mitume 10:19

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakati huo Petro alikuwa akifikiria juu ya ile ndoto, Roho Mtakatifu akamwambia, “Wako watu watatu wamekuja kukuta futa.