Matendo Ya Mitume 1:23

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakapendekeza majina ya watu wawili. Yusufu, aitwaye Barsaba, pia alijulikana kama Yusto, na Mathiya.