Matendo Ya Mitume 1:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
akasema, “Ndugu zangu, ilibidi Maandiko ambayo Roho Mtakatifu alitabiri kupitia kwa Daudi kumhusu Yuda aliyewaongoza wale waliomkamata Yesu, yatimie.