Matendo Ya Mitume 1:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ndipo mitume waliporudi Yerusalemu kutoka mlima wa Mizeituni ulioko umbali wa kama kilometa moja kutoka mjini.