Matayo 9:28

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Alipoingia ndani wale vipofu walimfuata. Akawauliza, “Mnaamini kwamba ninaweza kuwafanya muone?” Wakamjibu, “Ndio Bwana.”