Matayo 9:24

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Akawaambia, “Ondokeni! Kwa maana binti huyu hakufa, bali amelala.” Wakamcheka kwa dhihaka.