Skip to main content
BIBLE.eu
Read the Bible
Bible Study
Bible Topics
Compare Translations
Matayo 9:17
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wala watu hawahifadhi divai mpya kwenye viriba vikuukuu; wakifanya hivyo, viriba vitapasuka na divai itamwagika. Lakini divai mpya huwekwa katika viriba vipya na kwa njia hiyo divai na viriba husalimika.”
Yesu Amponya Mwanamke Aliyetokwa Damu
Read full chapter →
Compare all translations →