Matayo 8:34

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Watu wote wa mji huo wakatoka kwenda kukutana na Yesu. Wali pomwona wakamsihi aondoke kwenye nchi yao.