Matayo 8:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akanyoosha mkono wake akamgusa, akamwambia, “Napenda. Takasika.” Wakati huo huo yule mtu akapona ukoma wake.