Matayo 8:27

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wanafunzi wake wakashangaa. Wakaulizana, “Ni mtu wa namna gani huyu, ambaye hata upepo na bahari vinamtii?”