Matayo 8:24

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mara dhoruba kali ikavuma na mawimbi yakakaribia kuzamisha ile mashua; lakini Yesu alikuwa amelala usingizi.