Matayo 8:18

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu alipoona umati wa watu unazidi kuongezeka aliwaamuru wanafunzi wake wavuke, waende ng’ambo ya pili.