Matayo 7:4

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Au unawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Hebu nikutoe uchafu jichoni mwako,’ wakati jichoni mwako mna pande kubwa?