Matayo 7:19

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kila mti usiozaa matunda mazuri hukatwa katwa na kutupwa motoni.