Matayo 6:28

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
“Na kwa nini mnahangaikia mavazi? Angalieni maua ya mwi tuni yanavyostawi. Hayafanyi kazi wala hayashoni nguo.