Matayo 5:35

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
au kwa ardhi, kwa sababu ndipo mahali pake pa kuwekea miguu, au kwa Yerusalemu kwa sababu ndio mji wa Mfalme mkuu.