Matayo 5:32

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini mimi nawaambia, ye yote atakayempa mkewe talaka isipokuwa kwa kosa la uasherati, anamfanya mkewe mzinzi. Na ye yote atakayemwoa mwanamke aliyepewa talaka anazini.”

Mafundisho Kuhusu Kuapa