Matayo 5:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mmebarikiwa ninyi wakati watu watakapowatukana na kuwatesa na kuwasingizia maovu kwa ajili yangu.