Matayo 4:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa mara nyingine shetani akamchukua Yesu mpaka kwenye kilele cha mlima mrefu akamwonyesha milki zote za dunia na fahari zake,