Matayo 4:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
watu wale waishio katika giza wameona nuru kuu; na kwa wale wanaoishi katika nchi ya giza la mauti, nuru imewaangazia.”