Matayo 27:65

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Pilato akawaambia, “Ninyi mnao askari. Nendeni mkaweke ulinzi, mhakikishe pamekuwa salama kama mpendavyo.”