Matayo 27:63

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
wakamwambia, “Tunakumbuka kwamba yule mwongo alisema, ‘Baada ya siku tatu nitafufuka.’