Matayo 27:51

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakati huo huo pazia la Hekalu likapasuka vipande viwili, kuanzia juu hadi chini. Dunia ikatetemeka na miamba ikapasuka.