Matayo 27:47

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama hapo waliposikia haya walisema, “Anamwita Eliya!”