Matayo 27:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yesu akapelekwa mbele ya gavana naye akamwuliza, “Wewe ndiye mfalme wa Wayahudi?” Yesu akajibu, “Hayo umetamka wewe.”