Matayo 23:26

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ninyi Mafarisayo vipofu! Kwanza safisheni kikombe na sahani kwa ndani, ndipo nje patakuwa safi.