Matayo 23:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo mtu anayeapa kwa madhabahu, anaapa kwa hiyo madhabahu na vitu vyote vilivyoko juu yake.