Matayo 20:4

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Akawaambia, ‘Ninyi pia nendeni mkafanye kazi katika shamba langu la mizabibu na nitawalipa haki yenu.’ Kwa hiyo wakaenda.