Matayo 2:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo akaamka, akamchukua mtoto na mama yake usiku, wakaelekea Misri