Matayo 19:26

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini Yesu akawatazama akawaambia, “Kwa binadamu jambo hili haliwezekani, lakini kwa Mungu kila kitu kinawezekana.”