Matayo 19:24

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Tena nawaambieni, ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko mtu tajiri kuingia katika Ufalme wa mbinguni.”