Matayo 19:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wanafunzi wake wakamwambia, “Kama hivi ndivyo hali ilivyo kati ya mume na mke, basi ni afadhali mtu asioe!”