Matayo 18:21

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kisha Petro akaja kwa Yesu akamwuliza, “Bwana, ndugu yangu anikosee mara ngapi nami niendelee kumsamehe? Hata mara saba?”