Matayo 18:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
“Kama ndugu yako akikukosea, nenda ukamwambie kosa lake mkiwa ninyi wawili peke yenu. Akikusikiliza, utakuwa umempata tena ndugu yako.