Matayo 18:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
“Mnaonaje? Kama mtu ana kondoo mia moja na mmoja wao akapotea, hatawaacha wale tisini na tisa mlimani aende kumtafuta yule aliyepotea?